Non Governmental Organization.

@her_initiative  Her Initiative B4Teen Girls Supportive Initiative. (TGSI). RaiseAwarenes and Self Esteem To Tanzanian Young Girls. Join The Team.

7 hours ago

Hellow .. Taasisi ya Her initiative kupitia project yake ya PANDA imefanikiwa kuingizwa katika mashindano ya projects yanayofanyika barani Africa. Ili kufanikisha ushindi wa taasisi hii inayosimama kutetea na kusimamia ujasiriamali wa mabinti, tunaomb kura yako kupitia link hapo chini .kupata ushindi na kuiwakilisha Tanzania, mabinti, na vijana wote ❤ asante @her_initiative @her_initiative #youforG20 #PANDA https://youforg20.deutschland.de/en/panda-tanzania

4 days ago

Her initiative tunachukua fursa hii kuwatakia maisha mema yenye mafanikio baba wote wanaowajibika kwenye nafasi zao. Tunawakumbuka pia baba wote waliotangulia mbele ya haki raha ya milele huwape ee bwana na Mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani happy father's day.

2 weeks ago

Team of @her_initiative would like to congratulate , celebrate and wish a wonderful birthday to our general Secretary @dabrinah kwa kua moja ya chachu ya maendeleo kwenye taasisi ..

2 weeks ago

Dar es salaam University Marketing Association (DUMA) Brings you MARKETING FORUM 2017 A patform where practitioners meet and discussion critical and practical issue on the market and this year's theme is centered on *DIGITAL MARKETING* as if that isn't enough *ENTREPRENEURIAL MARKETING* will be up for discussion. *3rd June 2017* is the date *Yombo 5 UDSM* is the place *Free is the entrance fee* strengthen your mental muscles with the relevant knowledge. Free meal and drinks Free transport from Free t-shirts Follow us, like and share " @duma_udsm Visit http://duma-udbs.blogspot.com/?m=1 #DUMA #MKF17 #MARKETING #ENTREPRENEURSHIP

3 weeks ago

Shirika la Afya na Elimu ya Tiba Tanzania @TAHMEF kwa kushirikiana na Muungano wa wagonjwa wa Selimundu (SickleCell)Tanzania wanakuletea kampeni ya Uchangiaji Damu #UpendoHai . Itakayozinduliwa tarehe 2 June 2017 mkoani Dodoma katika kituo cha Damu salama General Hospital #Dodoma . Na kuendelea tarehe 10 juni 2017 katika mkoa wa #Kilimanjaro , #Mwanza , #Mbeya na #Dar es salaam. Changia Damu kuokoa Maisha. #UpendoHai Cc @julianabusasi @bint_mfalme

3 weeks ago

Look who's on the cover of new femina magazine?? ... Tunampongeza mwanzilishi wa @her_initiative @lydiacharles_ kwa kuwa kiongozi wa timu ya Nguvu ya binti ya Fema ambayo itaenda kupaza sauti za mabinti katika nyanja za kiuchumi ,kisiasa na kijamii @feminahip .. 👏👏👏

3 weeks ago

Nothing stops a woman with vision ..we are very proud of one of the previous PANDA speakers 2017 @jokatemwegelo for shinning through FORBES 30 UNDER 30... she's a figure of change, motivation and inspiration to many young growing women .. So today we recognize you as a Woman Of Change ... Congratulations @jokatemwegelo @jokatemwegelo

1 month ago

Hellow we would like to thank everyone for your requests to be a part of @her_initiative team /volunteer .. Unfortunately for now we are not receiving new volunteers until October 2017 when our first batch of volunteers have graduated and received their certificates ..please keep up with our page in case of any changes and also to get new updates.. We love our volunteers ❤ . . . . .Habari za sa hizi tunapenda kuwashukuru mabinti wote mliotuma maombi kuwa moja ya team ya @her_initiative au volunteer bahati mbaya kwa sasa hatupokei volunteers wapya mpka October 2017 wakati batch ya kwanza wakimaliza muda wao na kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu ..lakini pia tunawasihi mkae karibu na page Yetu itakapotokea mabadiliko. Asanteni.... Tunawapenda volunteers wote..❤

1 month ago

mwenyekiti wa her initiative @kent_reen atakuwa na interview leo @choicefm_tz akielezea tamasha la PANDA lilifanyika wiki iliyopita katika chuo kikuu cha dar es laam lililo wahusisha wasichana wa vyuo mbali mbali katika swala la uvumbuzi na ajira kwa wasichana wa vyuo Je unataka kujua nini yalijiri ??sikiliza kwenye radio yako ya @choicefm_tz (102.5 )ifikapo sa tano kamili leo asubuhi"

1 month ago

mwenyekiti wa her initiative @kent_reen atakuwa na interview leo @magicfm929 akielezea tamasha la PANDA lilifanyika wiki iliyopita katika chuo kikuu cha dar es laam lililo wahusisha wasichana wa vyuo mbali mbali katika swala la uvumbuzi na ajira kwa wasichana wa vyuo Je unataka kujua nini yalijiri ??sikiliza kwenye radio yako ya @magicfm929 ifikapo sa tatu kamili leo asubuhi

Load MoreLoading fail Click retry
Loading More......